Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Huyo mpopo tapeli tu
eti mbakaji alienda kuchukua condom!
kwanza huyu alikuwa kalewa eti "aliponishika matiti nikahisi naota"

ni nini kama sio pombe hizo?
Sikujua mwanamke akinywa pombe ni ruhusa kumbaka. Mama yako yupo wapi nimleweshe leo sikukuu? usisahau dada zako nataka nipige mtungo leo... Shangazi zako wapo free wale walevi?
 
Wanaijeria, Wakenya na Wasauz walivyoikomalia hii issue kana kwamba huko kwao ni salama.
Wanapajua vizur ndiyo watalii wetu wanao penda kuja kutalii Zanzibar wapo sahii Serikali yetu kupitia jeshi la polisi linaichafua nchi na wananchi tunaonekana watu makatili, huwezi kuona wa Cameroon, Ghana, Burundi, Congo, Mali wananchi wao wakikoment kwasababu hawaji kutembelea Zanzibar
 
Pia siamini asilimia 70 kwani wenzetu huwa wanakuwa na long term plan. Anaweza kuwa alimuita jamaa room then akamtoa kwa style ya kuchukua condom ili lengo litimie baadae. Kwakuwa ni long term plan mtu huwa na mipango ya muda mrefu ila anajua kwa baadae ataika lengo lake. Mfano anajua kuna malipo na hata sasa anapiga pesa insta kwa viewers na followers, pia Twitter. Kila sekunde anapata viewers zaidi ya 1k. Kumbuka kuwa hii issue mpka sasa ndyo trending si Tanzania tuu naamini sehemu kubwa zaidi ya hapa.
 
 
Tulipaswa kuwashughulikia wenye hotel, wangemtoa mtuhumiwa wao, Kwa polisi, na kumtaka radhi huyo dada, hayo yote yasingetokea. Majuto ni mjukuu siku zote!

Warere beach ni pazuri Sana. Shame this happened!
Yaani unavyotoa hukumu utafikiri una uhakika kuwa huyo binti alibakwa...
 
Alileta mashtaka polisi mlifanya nini?
Statement ya wenye hotelini imetoa good details and how she demanded $10k

Kwa tulioishi na hawa watu, haishangazi

Walishapoteza human values na wao wamejiweka kama any inverory

They’d do anything to dock a few points kutoka kwako
 
Statement ya wenye hotelini imetoa good details and how she demanded $10k

Kwa tulioishi na hawa watu, haishangazi

Walishapoteza human values na wao wamejiweka kama any inverory

They’d do anything to dock a few points kutoka kwako
Dada yetu Posh Queen anawafahamu vizuri sana
 
Huyo mpopo tapeli tu
eti mbakaji alienda kuchukua condom!
kwanza huyu alikuwa kalewa eti "aliponishika matiti nikahisi naota"

ni nini kama sio pombe hizo?
Kwakweli labda mtu anayelala kama pono. Mimi nilale mtu anishike tu nashtuka sembuse matiti nifikiri ndoto
Sio siri uchunguzi ufanyike kwa kina na kama amedanganya she has to pay. Maana amechafua jina la hotel na jina la nchi.
 
Kama huwaamini wanaigeria basi njoo umuamini mmiliki wa Weru weru Lodge wa kule Machame ambaye alilalamika na kutoa video clip zikimhusu mkuu wa wilaya ya Hai (Ole Sabaya) aliyetinga hotelini kwake akilazimisha akalale na Nandy.
Sijaelewa unamaanisha nini, lakini inabidi ufikirie uwezo wako kwenye kupambanua facts na drama.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…