Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

Sasa wewe na hao wengine waliokanseli safari zao wote ni wapuuzi mmeangalia upande mmoja tu na kutoa hukumu. Hiyo siyo haki.
 
Toka asubuhi anatrend huko twitter halafu unasema huwezi kuchafukahatuwezi kuchafuka
hatuchafuki

Tyson, Tupac, Cosby, Russel Simons wali repu watu kwenye ma New York City hotels na Marekani haikuchafuka na mahoteli hayakufungwa... watu maarufu, kesi nzito,habari kubwa

sembuse Ms Obasanjo mmoja kanusurika kubakwa na Usi Ubwa wa Mwana Kwerekwe Bichi, tena mwaka na zaidi, hakusema...

no smoking gun, no industry is getting upended
 
Na kwa nini asiseme uongo wakati anataka fidia. Tapeli tu huyo kama matapeli wengine wa kinageria.

Fidia hawezi kupata kwasababu it is time barred!! Madhumuni yake pengine ni ya kutaka kaharibu sifa ya visiwa vya Zanzibar kwenye biashara ya Utalii. The response from the Zanzibar Ministry of tourism so far has been stellar. Keeping silent without responding to those accusations would have been counter productive.
 
To me naona kuna jambo hapa...uongo wake uko wapi? Umeona hizo evidence zake?
Vipi mkuu,

Ulishapata stori ya upande wa pili toka Warere Hotel.
Hili suala lilifika polisi mpaka kwa mkuu wa mkoa, huyu binti ana demand pesa kwenye criminal case.

Huyo binti ni Yahoo Girl
 
Kuna impact itakayotokea naamin. Kwanza hotel yenyewe ukicheki review on google kwa sasa imebaki ba nyota 1.1 jinsi ilivyoshambuliwa.

Tukumbuke hizo reviews/ratings ni muhimu sana kwa mtu yoyote kufanya maamuzi kwa kitu
 
Kwamba demu hajui kiswahili, ila alielewa jamaa alivyomwambia "anaenda kuchukua condom alafu atarudi" [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwenye police statement kaandika jamaa kamwambia atarudi kesho[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kale kademu ni useless kabisa
 
NImefuatilia mjadala twitter.
UYu dada looks like ni tapeli maana ni tukio la 2021 now that we are about to launch Royal Tour anajifanya kiherehere.
INfact mpaka mlinzi aliyehusika alihojiwa ikaonekana ni kama set up uyo dada apige mpungu wa dola 10,000
Cha msingi ni kuwa makini na watu toka taifa hili maana hotel ilitaka hii kesi iendelee dada akata wacahne nayo ndo ujue lengo lake mpigaji uyu.
ILa kwa askari
 
Aibu ni kuwa hotel kubwa ya kulipa kuanzia laki 2 halafu simu haifanyi kazi sasa ukihitaji vinywaji unafanyeje unatembea?
 
You are missing a point... Hao watu walirepiwa kwenye mahoteli makubwa ishu zao zilikuwa handled vipi?

Hizo Hotel zilikuwa Boycotted?
 
Wenye hoteli wamaandika kuwa the victim demanded $10,000 as compensation for endangerment.
Attempted rape ni kosa LA jinai lakini hoja ni:
  • huyu Dada amekaa one year ' kutanza' hiyo issue kwa kuajili ya kupata physiological support.
  • kuna embassy or High Commission ya Nigeria, mbona hakutoa taarifa aliopona wenye hoteli au polisi n.k??
 

INasikitisha sana, Kwa hali hio tusema tu Utalii wetu unaenda kufa
 

Ni Tapeli tu huyo, Na huyu KIjana wa kimasai naamini alituwakilisha vizuri hapo hakumuacha mtupu.
 
Ni rahusi- warere waifungulie mashtaka kampuni ya ulinzi kwa mtu wao kufanya vitendo ( contributory negligent) vilivyo sababusha wao kuwa defamed na ku loose reputation yao... ni hivyo tu...
 
treatment ya polisi na kutokuwepo kwa owners au managers or supervisors wa hotel kwenye matukio hasa huko polisi na huyo binti hakufanya siri alikuwa anapayuka vizuri sana malalamiko yake, video ziko wazi hio Warere Beach Hotel ni wangese kabsa, tuache ujinga serikali iwabane hawa watu na huyu binti apatikane safisha nyumba uwe huru na ujidai kupokea wageni muda wote.
 
Dah! Aisee hii Kampuni inabidi ikomae na huyu Dada kaharibu mnoo 1.1* [emoji3064][emoji22][emoji22][emoji22]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…