Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

uzuri ni kwamba unadhihirisha ujinga wako ulipo na ndio maana wanaija wanatuona mazuzu sababu ya ma kuku wa kisasa wachache kama wewe,

kama wamekutuma mjue this time tutawabaka kweli kweli.

uzuri ni kwamba unadhihirisha ujinga wako ulipo na ndio maana wanaija wanatuona mazuzu sababu ya ma kuku wa kisasa wachache kama wewe,

kama wamekutuma mjue this time tutawabaka kweli kweli.
Leta nyege tu. Sasa hapa nani kadhihirisha ana tabia za kishenzi za ubakaji? Unadhani ni sifa? Zuzu usiejielewa wewe
 
Ndugu zangu watanzania at least tupitie kwenye page ya hiyo hotel kule Google map Tuipatie review nzuri maana wataoathirika ni vijana wa kitanzania walioajiriwa pale
 
Ndugu zangu watanzania at least tupitie kwenye page ya hiyo hotel kule Google map Tuipatie review nzuri maana wataoathirika ni vijana wa kitanzania walioajiriwa pale
Wajifunze nidhamu nadhani hiyo warere itakuwa mfano kwa watu wengine kwenye hiyo sector.
 
story yake ameiendeleza leo nenda kasome.

Amezungumzia na hilo la $10,000 lilitoka wapi.
 
Umetoa judgement yako kutoka kwenye maelezo ya hotel.

Yule dada hakumaliza story yake jana.

Unaonaje ukienda kumalizia kipande kilichobaki?
 
Nadhani sasa watajifunza kuwa wabongo nasi sio mazuzu kiviile 😀😀
 
Ndugu zangu watanzania at least tupitie kwenye page ya hiyo hotel kule Google map Tuipatie review nzuri maana wataoathirika ni vijana wa kitanzania walioajiriwa pale

Twendeni sasa wacheni maneno weka link hapa
 
Polisi Zenji wamesha lielezea hili... yeye anataka hela kam ten m hivi wakati amdai yake ni kama ameibiwa dola 1500.
polisi wanasema sisi hutuwezi kukufidia kazi yetu sio hiyo ukitaka fidia nenda mahakamani..Dada akawa hataki. ndio hilo skata karekodi hapo..polisi wakamtimua.
Hv kesi ya kutaka kubakwa utataka ulipwe fedha? na kwa nn alikaa mwaka mzima kimya akaja kulibua leo.
Hizo ni hasira za kufukuzwa na polisi kisa polisi hawataki kumpa 10m na wangempa usinge sikia hayo makelele..
in short dada ni malaya..walishindwana na hawala wake ikatoke fujo ndio akaleta hizo vulumai.Ushauri wangu serikali ya Zanzibar imchulie hatua huyu dada kwa kuichafua nchi.
 
Zanzibar haya mambo yapo sana tu kuna ma beach boys wengi wanawafanyia uhuni sana watalii hasa kutoka Ulaya, nakumbuka kuna siku miaka kama mi5 iliyopita nilikuwa hospital ya taifa mnazi mmoja akaja kibibi kina majeraha mwilini akidai kupigwa na kuporwa vitu vyake, alikuwa anaongea lugha ambayo hatukuelewana vizur ila baada ya kuona simweli akafungua mkoba wake akanionyesha picha tofauti za jamaa Rasta limelala kitandan liko uchi (inaonekana alikuwa akimtumia hizo picha kabla) na kunionyesha majeraha ndipo nilipogundua huyu anahitaji msaada wa kimatibabu na kisheria ndio nikampeleka dawati la polisi wanao deal na maswala ya unyanyasaji na wizi nikamwacha hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…