yvegenc prymacov
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 1,530
- 1,961
Ingekua walikamwatwa enzi za bwana yule mwingine uzi ungekua umejaa matusi huu na maneno ya kumlaani...Walikamatwa kipindi cha Rais yupi? Maana wazuri hawafi kwa matendo yao mabaya
kama alivojinasibu mmoja wao
Siyo sawa kumshikilia mtu kwa miaka 10 bila ya kuendelea na kesi yake kwa kisingizio kwamba hakuna bajeti ya kesi yake. Huo ni UKATILI na ROHO MBAYA ambayo hata Mwenyezi Mungu hapendi.Hakuna ambae marekani ni kwake kuna watu wenye asili ya arabia na raia wa marekani walipigwa ndani kwa mtindo huohuo
Kila Ubaya utalipwaSiyo sawa kumshikilia mtu kwa miaka 10 bila ya kuendelea na kesi yake kwa kisingizio kwamba hakuna bajeti ya kesi yake. Huo ni UKATILI na ROHO MBAYA ambayo hata Mwenyezi Mungu hapendi.
Kweli, mahakama ingeweka wazi kwamba wako ndani Kwa kuhofia usalama wa nchi kuliko kisingizio Cha gharama za uendeshaji wa kesi.Kuna kitu kinaitwa usalama wa TAIFA watanzania wengi hili jambo hatulijui, hata marekani kuna jamaa walikua wanawaweka huko Guantanamo na ma-black site mbalimbali duniani without trial , kimsingi kwenye swala la USALAMA wa TAIFA mambo mengi ya hovyo yanaweza kufanyika na ndio maana hii sekta inahitaji watu wenye weledi wa hali ya juu sana. Kwa miaka kumi waliyokaa nina mashaka kwamba ni KUONEWA
SwadaktaKweli, mahakama ingeweka wazi kwamba wako ndani Kwa kuhofia usalama wa nchi kuliko kisingizio Cha gharama za uendeshaji wa kesi.
Hata wao amini nakuambia hawajui kinachoendelea ni mwendo wa “abracadabra “Kweli, mahakama ingeweka wazi kwamba wako ndani Kwa kuhofia usalama wa nchi kuliko kisingizio Cha gharama za uendeshaji wa kesi.
Hakuna mwingine!Tukiachana na Lema mchango wako kwenye hoja hii ni upi ?
Yaani upo upo tu !Hakuna mwingine!
Anataka kupiga michago Tena kama alopiga ilo ya kuzunguka Dunia kuelezea mabaya ya TanzaniaBaada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi, Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji Mkuu aweke wazi kiasi cha pesa za kuendeshea kesi hiyo, ambacho Serikali na Mahakama zimeshindwa kukipata, ili yeye na marafiki zake wachangie kuwezesha Mahabusu hao kupelekwa mahakamani
Bado tunasubiri Jaji Mkuu aweke wazi hela zinazotakiwa ili mchakato huo uendelee .
Kwa niaba ya Wapenda haki wote nachukua nafasi hii kuwapongeza Shehe Ponda na Godbless Lema , mmoja kwa kufichua jambo hili na mwingine kwa kujitolea Pesa za kuendeshea kesi .
Mungu awazidishie , Amina .
==
Pia soma > Mahakama yadai haijashindwa kusikiliza mashauri ya ugaidi
Hawawezi kuja hapa,aliyewakamata hawa Masheikh ni mzuri anayeishiIngekua walikamwatwa enzi za bwana yule mwingine uzi ungekua umejaa matusi huu na maneno ya kumlaani...
Huyu Jaji Prof Ibrahim Juma, kiukweli kazi ya u CJ ni kubwa kuliko uwezo wake. Haya yalikuwa ndiyo mauteuzi ya Magufuli.Baada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi, Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji Mkuu aweke wazi kiasi cha pesa za kuendeshea kesi hiyo, ambacho Serikali na Mahakama zimeshindwa kukipata, ili yeye na marafiki zake wachangie kuwezesha Mahabusu hao kupelekwa mahakamani
Bado tunasubiri Jaji Mkuu aweke wazi hela zinazotakiwa ili mchakato huo uendelee .
Kwa niaba ya Wapenda haki wote nachukua nafasi hii kuwapongeza Shehe Ponda na Godbless Lema , mmoja kwa kufichua jambo hili na mwingine kwa kujitolea Pesa za kuendeshea kesi .
Mungu awazidishie , Amina .
==
Pia soma > Mahakama yadai haijashindwa kusikiliza mashauri ya ugaidi
Unakumbuka aliyesema tatizo Ni fedha (bajeti) Ni nani?Mahakama ilishamjibu huyu mjaa laana kuwa pesa ipo aache kutafuta kiki
USSR
Huyo mama yenu samia si ni muislamu? Sasa naanza kumchukia huyu mamaBaada ya Taarifa ya Shehe Ponda kuonekana mitandaoni, ikieleza kwamba kuna mashehe wamewekwa rumande huko Arusha kwa miaka 10 kwa tuhuma za ugaidi, na kwamba hawapelekwi Mahakamani kwa vile Bajeti ya mahakama haitoshi, Msamalia Mwema Godbless Lema ameguswa na amejitokeza hadharani akimuomba Jaji Mkuu aweke wazi kiasi cha pesa za kuendeshea kesi hiyo, ambacho Serikali na Mahakama zimeshindwa kukipata, ili yeye na marafiki zake wachangie kuwezesha Mahabusu hao kupelekwa mahakamani
Bado tunasubiri Jaji Mkuu aweke wazi hela zinazotakiwa ili mchakato huo uendelee .
Kwa niaba ya Wapenda haki wote nachukua nafasi hii kuwapongeza Shehe Ponda na Godbless Lema , mmoja kwa kufichua jambo hili na mwingine kwa kujitolea Pesa za kuendeshea kesi .
Mungu awazidishie , Amina .
==
Pia soma > Mahakama yadai haijashindwa kusikiliza mashauri ya ugaidi
Kwa hiyo Mahakama haina kazi ?Kuna kitu kinaitwa usalama wa TAIFA watanzania wengi hili jambo hatulijui, hata marekani kuna jamaa walikua wanawaweka huko Guantanamo na ma-black site mbalimbali duniani without trial , kimsingi kwenye swala la USALAMA wa TAIFA mambo mengi ya hovyo yanaweza kufanyika na ndio maana hii sekta inahitaji watu wenye weledi wa hali ya juu sana. Kwa miaka kumi waliyokaa nina mashaka kwamba ni KUONEWA
Haina shida, endelea kumpenda marehemu aliyezikwa ChatoHuyo mama yenu samia si ni muislamu? Sasa naanza kumchukia huyu mama