Tetesi: Sakata la Zanzibar lawagawa CCM, watendaji serikalini

Uchaguzi ushapata mwaka mmoja na miezi sasa, bado mnauota?
 
Mkuu Kishada.. Habari ya siku nyingi..
nnaswali langu kidg bro... its been almost one and a half years.. since uchaguzi wa october na ss mwaka toka ule wa marejeo..Na tumemsikia Maalim of Late akiwaahidi the CUF Faithful that muda si mwingi...Haki itapatikana... time is flying by.. Hv karibuni tumemsikia Mwenyekiti akimdecommission katika position yake ya ukatibuu mkuu.. ss ukiangalia mkanganyiko huu wa events bro and all.. hv do u think kweli our brethrens in green wako tayari kugawanyika? Mbona mm nahisi kama its All over for Maalim and that apige Moyo konde asubiri 2020? after all muda haugandi? nini maoni yako kaka juu ya hili?
 
Nimekupata. Ndo maana wachambuzi wa mambo wanasema laiti kama Mr six angejua ataondoka bila ile kazi aliyoipigania kwa nguvu zote ikiwemo kuwatukana watumishi wa Mungu kwamba hawana utukufu asingepigisha kura marehemu ili kukidhi matakwa ya kikatiba. Alichokisahau ni kwamba kuwagusa watumishi wa Mungu kwa namna ile hakukuwa tofauti saaana na yule dogo kumtwanga yule babu yake pale ubungo halafu yule mzee akakataa kuwalalamikia wanadamu badala yake akapeleka fadhaa zake zote kwa mzee wa siku. Wote mnajua what is going on
 
1) Serikali ya ZnZ inauza umeme kwa bei ndogo kuliko inayonunulia ,ikiwa mbinu ya kuwabembeleza wazenj
2) Makusanyo ya Zeco yanasaidia kuendesha serikali,kwani mapato ya ndani ,mikopo na misaada haitoshi kugharamia
 
Kama mlijitungia hotuba wenyewe mkasema Ni hotuba ya Mh. Raisi Shein Na bado hakuna lolote la maana mlilo achieve, naona hata haya uliyoandika hapa Ni ujinga wa kiwango cha lami!!
Kubalini tu kwamba Safari hii mmechemka, subirini 2020
Mungu akubariki.Sema Ameen
 
Kwa bahati mbaya sana kizazi chenye upeo huo k imepotea. Hakipo tena miongoni mwao
 
Wafadhili waminye tu mpaka tutakaposhika adabu
Wao wanalishwa na kuvalishwa bure. Hawana cha kupoteza. Tatizo ni mimi na wewe pamoja na wana ukoo wetu
Wewe soma kama tetesi halafu tuachie wenyewe.

 

NDIO MAANA JUZI TULIMSIKIA MKUU AKIZUWIYA PASSPORT YA MKANDARASI NA KUONGEZEA KAMA WAFADHILI HAWATOI PESA SEMENI SISI TUTALETA ?

SUALA LA UMEME WANANCHI WA ZANZIBAR WANANUNUA KWA CASH LAKINI SMZ WANAGEUZA MAPATO YAO HAWALIPI TANESCO HAPA NDIO SHIDA .LAKINI SUALA KWA NINI TANESCO WANAACHA DENI MPAKA KUFIKIA BILLION 121 ??? HAWA NAO WAMESHINDWA KAZI BIASHARA GANI HII YA KUKOPESHA MPAKA KUKARIBIA KUMALIZA MTAJI
 
1) Serikali ya ZnZ inauza umeme kwa bei ndogo kuliko inayonunulia ,ikiwa mbinu ya kuwabembeleza wazenj
2) Makusanyo ya Zeco yanasaidia kuendesha serikali,kwani mapato ya ndani ,mikopo na misaada haitoshi kugharamia
Bei ya kununulia umeme TANESCo kiasi gani? Wanzazibari wanauziwa umeme kwa bei Tsh 222 per kwh.
 
Huu ni Uongo ulipita mipaka. Ila si vibaya kuandika hayo ili uweze kula
 
Sidhani kama deni hilo ni la watu binafsi. Nahisi ni la serikali
Mshindi halali aapishwe haraka ili kunusuru nchi .
 
Si tuliambiwa linchi hili litajiri sana na muda mfupi tutaanza kuwakopesha nchi majirani na hao waliokuwa wahisani wetu!
What went wrong?
Fungus ikiingia kwenye ubongo iko shida ktk kufikiri. Tafakari
 
All in all do you or rather are you still convinced PhD za Leo ni kama zile za kale?Something has gone wrong somewhere or rather something is not happening somewhere. What do you think brother?
 
1) Serikali ya ZnZ inauza umeme kwa bei ndogo kuliko inayonunulia ,ikiwa mbinu ya kuwabembeleza wazenj
2) Makusanyo ya Zeco yanasaidia kuendesha serikali,kwani mapato ya ndani ,mikopo na misaada haitoshi kugharamia
Noted.If that's the case what's the panic for? Au ndo mwendokasi?
 
Kama ni hivyo kweli tanesco hawawezi kuchukua hatua yoyote ile. It's a political issue ambayo hata huyo mnaye m quote can not do anything. Ni maneno tu ya kufurahisha baraza
 
All in all do you or rather are you still convinced PhD za Leo ni kama zile za kale?Something has gone wrong somewhere or rather something is not happening somewhere. What do you think brother?
Mimi nadhani it would have been better if Maalim angelishiriki tu ule uchaguzi wa marejeo.. labda leo watu wangeshasau after seeing their beloved Maalim as first vice president.. kulikoni the emotional turmoil that the cuf surporters are experiencing right now.. hoping for something that most probably is not there..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…