KUCHITIMBO1970
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 482
- 221
Naunga mkono umeme kukatwa Zanzibar kama mkulu alivyo agiza maana hawataki kulipa deni linalo kadiliwa 121 bilioni.Mkulu anataka kukata umeme zanzibar ni wazi mambo c mazuri.
Nimependa analysis yako kaka.. Time Will tell bro... Nadhani kadiri muda utakavo kwenda kweli itajulikana... na siku zinaenda mbio saaana..Kinachoendelea ndani huko binafsi sikujui. Lakini katika akili ya kawaida . Hapa kuna tatizo na njia za utatuzi ziko nyingi. Nafikiri wahusika wameplan njia ya diplomasia na kuweka mbadala wake. Tutazame pande tatu za wahusika. CUf kupitia kauli za Maalim Seif zimenukuliwa mpaka karibuni kule kisiwani Pemba. Kuwaahidi watu haki yao itapatikana muda si mrefu kupitia ziara ndefu aliyofanya. Upande wa CCM kuna ukimya kidogo na kauli za kujihami kuwa hakuna mabadiliko. Upande wa tatu ni wa jumuiya za Kimataifa. Kwa mara ya mwisho ni hiyo kauli ya Balozi wa EU Tanzania (nimeeleza hapo juu kwenye Comments) ambapo mrejesho hatujaupata wala makanusho.
Kuna usiri umetawala tu na sasa mwandishi alizipata hizi tetesi na kuziweka hapa ili mwenye taarifa za kuthibitika atujuze.
Bila shaka kuna kitu kinatokota.
sasa taarifa zako za tetesi hazina ukweli wowote inchi inazidi kuimarika na uchaguzi ulishapita, tufanye kazi , tulime au fanya biashashara. badala ya kuleta tetesi za kustua nchi kiasi hiki. mwenzako alikaa ndani kwa miezi minne hivi kule arusha.Tofautisha kati ya "mtoa hoja" na "mleta taarifa" mimi nimeleta taarifa za tetesi tu.
Lete ukweli yakinifu.
sasa taarifa zako za tetesi hazina ukweli wowote inchi inazidi kuimarika na uchaguzi ulishapita, tufanye kazi , tulime au fanya biashashara. badala ya kuleta tetesi za kustua nchi kiasi hiki. mwenzako alikaa ndani kwa miezi minne hivi kule arusha.
Hapo ndio utadhihirika uozo wa akili, ukisha kata umeme aibu ya nani? au ndio kukubali sio nchi moja, yaani unakata umeme kwenye chumba kimoja nymbani kwako, dunia nzima itajua ni chuki hata kama kweli hawajalipa bili.Naunga mkono umeme kukatwa Zanzibar kama mkulu alivyo agiza maana hawataki kulipa deni linalo kadiliwa 121 bilioni.
Kwa upande mwingine watumishi wa Serikali wanao idai Serikali pia wasitishe kutoa huduma hadi hapo Serikali itakapo lipa madeni inayodaiwa na watumishi.
Dah AMBWENE, Huu uimbaji wako sio kipaji ni Neema ya Mungu kabisa.