The Supreme Conqueror JF-Expert Member Joined Feb 13, 2017 Posts 458 Reaction score 1,280 Aug 11, 2022 #1 Simba yakutana na malalamiko kutoka kwa chama cha wenye ualbino Tanzania.
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,021 Reaction score 79,710 Aug 11, 2022 #2 Albino wakijiona wako sawa na wasio na albinism malalamiko hayatakuwepo. Tatizo wanajiweka kama special group waliotengwa.
Albino wakijiona wako sawa na wasio na albinism malalamiko hayatakuwepo. Tatizo wanajiweka kama special group waliotengwa.
albab JF-Expert Member Joined Jul 6, 2018 Posts 1,198 Reaction score 2,562 Aug 11, 2022 #3 kuna mambo ni upuuzi tu wakati mwingine....... na sisi weusi tulalamike manara kutufanya walinzi wake alitudhalilisha......😂
kuna mambo ni upuuzi tu wakati mwingine....... na sisi weusi tulalamike manara kutufanya walinzi wake alitudhalilisha......😂
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Aug 11, 2022 #4 Chaliifrancisco said: Albino wakijiona wako sawa na wasio na albinism malalamiko hayatakuwepo. Tatizo wanajiweka kama specail group waliotengwa. Click to expand... Kama ambavyo wanawake wanajiona.
Chaliifrancisco said: Albino wakijiona wako sawa na wasio na albinism malalamiko hayatakuwepo. Tatizo wanajiweka kama specail group waliotengwa. Click to expand... Kama ambavyo wanawake wanajiona.