Sakho pass the ball early

Sakho pass the ball early

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kocha Mgunda mwambie Sakho awe anapasi mpira haraka, anakaa sana na mpira. Anatukosesha mtiririko wa uchezaji sana. Jana anakaa sana na mpira.

Mlio karibu naye mwambieni.
 
You hate Sakho being Sakho......

Ile ni namna yake ya Uchezaji ( haihusiani na Ubinafsi ), ni mwalimu aangalie namna ya kumtumia.

Kama ni kuachia mpira haraka Okwa yupo then, mbona naye mnamsema anaachia mpira haraka.
 
Back
Top Bottom