B bulabo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 628 Reaction score 780 Oct 17, 2022 #1 Kocha Mgunda mwambie Sakho awe anapasi mpira haraka, anakaa sana na mpira. Anatukosesha mtiririko wa uchezaji sana. Jana anakaa sana na mpira. Mlio karibu naye mwambieni.
Kocha Mgunda mwambie Sakho awe anapasi mpira haraka, anakaa sana na mpira. Anatukosesha mtiririko wa uchezaji sana. Jana anakaa sana na mpira. Mlio karibu naye mwambieni.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 31,583 Reaction score 92,670 Oct 17, 2022 #2 Anataka kucheza kama anacheza gombania goli, anao anao nyiingi.
K Kibulungwe Senior Member Joined May 2, 2022 Posts 155 Reaction score 285 Oct 17, 2022 #3 makaveli10 said: Anataka kucheza kama anacheza gombania goli, anao anao nyiingi. Click to expand... Yeye na Kibu wanapenda sana hizo, wakirekebisha hilo tatizo ni wachezaji bora sana.
makaveli10 said: Anataka kucheza kama anacheza gombania goli, anao anao nyiingi. Click to expand... Yeye na Kibu wanapenda sana hizo, wakirekebisha hilo tatizo ni wachezaji bora sana.
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,140 Reaction score 9,667 Oct 17, 2022 #4 You hate Sakho being Sakho...... Ile ni namna yake ya Uchezaji ( haihusiani na Ubinafsi ), ni mwalimu aangalie namna ya kumtumia. Kama ni kuachia mpira haraka Okwa yupo then, mbona naye mnamsema anaachia mpira haraka.
You hate Sakho being Sakho...... Ile ni namna yake ya Uchezaji ( haihusiani na Ubinafsi ), ni mwalimu aangalie namna ya kumtumia. Kama ni kuachia mpira haraka Okwa yupo then, mbona naye mnamsema anaachia mpira haraka.
OKW BOBAN SUNZU Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 53,868 Reaction score 121,001 Oct 17, 2022 #5 Apigwe one touch aache kucheza na Jukwaa