"... na Nabbi aendelee kua prof?" as if huyo Nabbi keshawahi kuwa Prof. Huyo Nabbi mlishupaza shingo mkitaka afukuzwe msimu uliopita kwa madai kuwa hana ubora. Maingizo mapya ya wachezaje wenye morali yanamfanya leo aitwe Prof eti!!
Hapo Utopolo amewahi kuwepo Professor mmoja tu... Nae si mwingine bali Luc Eymael, kauli na hekima zake juu ya mashabiki wa utopolo zutadumu milele.