Anyisile Obheli
JF-Expert Member
- Dec 13, 2009
- 3,400
- 320
hivi ni lini tutaacha ujinga? sasa wewe hapo unapinga on behalf of nani? hebu elimikeni jamani yani tayaru umeguswa kama imesemwa familia yako vile, huo ni upuuzi tena nauita upuuzi kwa herufi kubwaHahaha utafananisha na nchi za magharibi na Africa yetu!
HIV ni global disaster ! ila kwa nchi za kiislam kama! SAUDI ARABIA, BAHRAIN,IRAN!.. idadi yake sio kubwa kulinganisha na nchi zingine.
USINIPE DATA ZILIZOTOLEWA NA NCHI ZA MAGHARIBI.. UONGO M2PU! ADUI WAKO SIKUZOOTE ANAKUOMBEA NJAA!
ONE DAY PALESTINE WILL BE REE! TOKA MIKONONI MWA WAKOLONI MAGAIDI WA ISRAEL :becky:
wewe acha blah blah hapa siyo sikukuu ya kusoma mashairi yako hayo" Sisi Tunaomba kura ili tuweze kuwaongoza watu wote Tanzania bila ubaguzi wa rangi,dini wala kabila"
Hivi kweli hili linawezekana chini ya kivuli cha maneno ya msemaji?
Atawezaje kumthamini mtu anayeunganishwa na uchawi na majini katika kuabudu?
Nikiifikiria JF na baadhi ya watu,ah! sipati picha.
Hivi hatuwezi kuwa na hoja zenye mashiko kuliko kuruka ruka? Ukiisoma sentensi hiyo ni rahisi kumtafsiri huyu mtu anakuwa na hasira kiasi gani juu ya imani fulani.
Hivi JF inatoa uhuru kiasi gani kwa wanachama wake kutoa maoni yao? Binafsi naona kuna watu humu hawatakiwi kuwa wanachama japokuwa wanalazimisha tu na hili linaweza kuthibitishwa pale inapoibuka hoja yoyote inayohusu imani!
Akh!!!!!!!
duh, kwani sheria za kiislam hufutwa? hiyo sio agano jipya. ni qurani isioeditiwa
Eti kitabu chako ni Quran! haha!:becky:.. labda ile ambayo imekuwa edited na wewe..! inakuwaje sheria zake unaanza kuziponda alawafu wasema ni kitabu chako!. basi nenda kakisome vizuri
hakuna kitabu kuran, bali ni qur_an
Ukweli ni kuwa Supreme Council of Iran ilishatoa decree za kupiga marufuku aina ya dhabu kama hii tangia miaka ya 70. Lakini katika mfumo wa sheria wa Iran kama ilivyo kwengine you always have some nut - fanatics whom any system has to deal with cautiously...Cha ajabu kati ya wanaojidai kuwa mbele kupinga adhabu ya huyu dada wapo wengi ambao wako mstari wa mbele kuunga mkono mauaji ya kikatili ya so called vibaka na pia kwa kutumia imani zao wapo tayari kulinda adhabu ya kifo kuendelea kutumika.....
View attachment 13443View attachment 13444
Huyo kisura anatakiwa apondwe mawe huko Iran hadi kufa, baada ya mfungo wa Ramadhani.
Oooh!! God.:A S cry:😛ray2::amen:
... the principle is that whatever is established in regards to the men, then is applies (also) to the women from the commandments and prohibitions. And that which is established in regards to the women, then it (also) applies to the men, and for this, whoever accuses a man (of fornication), it is incumbent that he be punished with eighty lashes along with the fact that the verse was (specifically) for those men who accuse chaste innocent women (of fornication). As Allaah the Most High said:
And those who accuse chaste women, and produce not four witnesses, flog them with eighty stripes An-Nur (24):4
Mungu apishilie mbaliNo Mahakama za Kadhi wala Sharia Tanzania.
Matamshi tu...wewe unadhani ukitamka kwa kiarabu sana ndio muumini...mbona kuna Muhamedi,Mwamedi,Muhamad,Mohamed nk.....
What happens in Stoning?
In stoning to death, the victims's hands are tied behind their backs and their bodies are put in a cloth sack. Then, this human "package" is buried in a hole, with only the victims heads showing above the ground. If its a woman, she is buried upto her shoulders. This is to give her an seemingly equal (but nonetheless impossible) chance to escape recognizing her lesser physical strength.
After the hapless individual has been secured in the hole, people start chanting "Allah hu Akbar" (meaning, God is great), and throw palm sized stones at the head of the victim from a certain distance (a circle is drawn).
The stones are thrown until the person dies or until he/she escapes out of the hole and crosses the circle. Escaping is impossible, given that the individual's hands are tied behind their backs and they are buried in a hole upto their necks or shoulders (in the case of males and females respectively).
Naturally, the procedure is extremely barbaric and bloody.
Stoning to death is still carried out in the current era, in Iran and was carried out in the previous Taliban-ruled Afghanistan.
If you are a Muslim and believe stoning is not a part of Islam: Congratulations! You have already partially apostated from Islam. Now you just need to complete your apostasy like we did, and stop believing that Mohammed was a prophet of God.
Being a humanist is a great alternative to being a Muslim :lol:
kwani jeshi, polisi hawamwagi damu? jee na hao jee?
View attachment 13443View attachment 13444
Huyo kisura anatakiwa apondwe mawe huko Iran hadi kufa, baada ya mfungo wa Ramadhani.
Oooh!! God.:A S cry:😛ray2::amen:
Amekosa nini Ndugu?View attachment 13443View attachment 13444
Huyo kisura anatakiwa apondwe mawe huko Iran hadi kufa, baada ya mfungo wa Ramadhani.
Oooh!! God.:A S cry:😛ray2::amen:
dhambi ya pili kubaka watoto na kukataa kuoa