Dada kumbe uko kama mie. Cha muhimu kuvumiliana tu.Yaan kuna no zinanihusu kabisa mkuu no 2 na no 5 [emoji41][emoji41][emoji41]
Asante kwani we unapenda mtu akupotezee muda?He he poleee
Hahahaaaaa. Ndio maana tunazo mkuuKwenu ni zakawaida
Swala la kupendeza mhimu ila mzingatie na mudaHahahaaaa. Ndio hapo sasa. Watuvumilie tu kwa kweli kwa sababu mwanamke kupendeza muhimu na kupendeza mpaka ujithaminishe mara tatu tatu je nimenoga baada ya hapo ndio tunakuwa tayari kwa safari.
Sio tuwe rafu tuuu
Acha tu dada akee kuna vitu upande wetu havikwepeki ujue kikubwa ni kuvumiliana tuDada kumbe uko kama mie. Cha muhimu kuvumiliana tu.
Hahahaaa. Sawa mkuu.Sawa,ila nanyi pia mtuhurumie...cause u guys are complicated aiaee
Sawa babaSwala la kupendeza mhimu ila mzingatie na muda
Kweli kabisa dada akee.Acha tu dada akee kuna vitu upande wetu havikwepeki ujue kikubwa ni kuvumiliana tu
Sawa ila kuna wakati mnatakiwa muwe na mabadiliko mjali mdaDharura itajulikana
Sawa kwa hiyo mleta Uzi kawaongezea visivyo vyenuKuna baadhi sio vya kweli Mkuu. Kama hiyo namba 08 hadi tuwe na sababu.
Hahaaaa. Sawa ndugu tutajitahidi.Swala la kupendeza mhimu ila mzingatie na muda
Kweli kabisa hiyo namba nane haina jinsia huwa inatokea tu tena kwa wote ila lazima iwe na sababu maalum.Sawa kwa hiyo mleta Uzi kawaongezea visivyo vyenu
Basi mi hua napendaga kumwambia ajiandae tunasafari, basi nitamwambia masaa matatu kabla,Hahahaaaa. Ndio hapo sasa. Watuvumilie tu kwa kweli kwa sababu mwanamke kupendeza muhimu na kupendeza mpaka ujithaminishe mara tatu tatu je nimenoga baada ya hapo ndio tunakuwa tayari kwa safari.
Sio tuwe rafu tuuu
Sehemu zipo nyingi ambazo kuwepo ni mhimu kuliko kupendeza[emoji12] [emoji12] [emoji12]kama sehemu zipi labda?
Basi mi hua napendaga kumwambia ajiandae tunasafari, basi nitamwambia masaa matatu kabla,
Nikijua anakaribia kumaliza namwambia tumechelewa tuahilishe[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Utashangaa anakama kapu anaenda sokoni, hapo ndio utajua woman never give up[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji735] [emoji735] [emoji735]
Sawa mkuuHahahaaaaa. Ndio maana tunazo mkuu