Serikali yetu inajinasibu haina dini lakini ni jambo la ajabu Sana Shughuli za Kiserikali kuhusishwa na Dini. Sielewi zile sala zilizopo katika Shughuli za Kiserikali zinawezaje kucover makundi yote ya watu katika jamii.
Natambua Serikali haina dini ila watu wake Wana Dini, hata hivyo nadhani kutumia vikundi vya dini katika Shughuli za Kiserikali ni makosa.
Natambua Serikali haina dini ila watu wake Wana Dini, hata hivyo nadhani kutumia vikundi vya dini katika Shughuli za Kiserikali ni makosa.