Sala Katika Mkutano na Shughuli za Serikali

chamakh

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,075
Reaction score
1,343
Serikali yetu inajinasibu haina dini lakini ni jambo la ajabu Sana Shughuli za Kiserikali kuhusishwa na Dini. Sielewi zile sala zilizopo katika Shughuli za Kiserikali zinawezaje kucover makundi yote ya watu katika jamii.

Natambua Serikali haina dini ila watu wake Wana Dini, hata hivyo nadhani kutumia vikundi vya dini katika Shughuli za Kiserikali ni makosa.
 
Huo ni utaratibu mzuri maana usipowaita wanalalamika hawashirikishwi.
 
Watu wanaopewa dhamana na hiyo serikali kuu ni watu wenye dini mbalimbali,Na wanaamini uwepo wa Mwenyezi Mungu,sawa mkuu?!
 
Duh! Ko mkuu sala zote zile hakuna ilokugusa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…