Ndugu, wenyewe masharouharo wanaweka neno "men" kila mwisho wa sentensi!!BABA YETU KISHAROBAROBaba yetu unasizi majuu ,jinalako lihit sana utusome na mamkate mabaga na mazagazaga..utupotezee tukiharibu baab kama na sisi tunavowachukulia poa washkaji wakizingua, one time nini usitupe masoo ya kutupimia na utuokoe kwenye masoo ,ameen meen
oooh....!!mmmaaa...ma!!BABA YETU KISHAROBAROBaba yetu unasizi majuu ,jinalako lihit sana utusome na mamkate mabaga na mazagazaga..utupotezee tukiharibu baab kama na sisi tunavowachukulia poa washkaji wakizingua, one time nini usitupe masoo ya kutupimia na utuokoe kwenye masoo ,ameen meen