Iko vizuri ila sitafunga ndoa ntaishi nae kwa mapenzi hayo ya kweli.Kwa wale mnatafuta wachumba wema
Nimewarahisishia kazi.
Kwa waumini na waamini iko njema sanaKwa wale mnatafuta wachumba wema
Nimewarahisishia kazi.
how? imekaaje hio mremboTunatakiwa tuombe mchumba mwema sio mke/mume mwema!!!
Mm sijui mtoa mada najua tunapaswa kuomba mke au mume.how? imekaaje hio mrembo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha kusumbua malaika. Ndoa ni utapeli. Kataa ndoa.