mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mbona kimya mkuu..!? Leta mrejesho.... Teh teh teh teh...Siyo siri dua ya Wenger, na wenzake wa liverpool na man city ni kuwa chelsea ajikwae! Ule msemo kuwa wamechimba mashimo wakatumbukia wenyewe umetimia kwao. Wao wametangulia kudondosha pointi!
Laiti ungesikia dua yao leo tunapokutana na tottenham! Ni kama fisi ambaye anasubiri kwa hamu mkono wa mtu udondoke apate kitoweo!
Endeleeni kusubiri yamkini kuna siku mkono wa MTU utadondoka!
Hivi ni nani anayeongoza ligi ??Arsenal pekee iliyoshinda mechi kumi na nne mfululizo,,,Chelsea alitaka kujaribu Ila majiran zetu wa spurs wakawakatalia na kuwaambia London town INA wenyewe yaan spurs na arsenal
Safi mkuu ulimjibu vema. Nadhani sasa atakuwa ameamini ya wahenga waliponena ya kuwa usitukane mamba kabla hujavua samaki.!mbona umewahi sana kuandika mechi yenyewe bado