mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Halafu ukisema hawa jamaa wako racist wanakushangaa, ukiwaambia mmepotea wanasema unawatukanaπUkiiomba Kwa kiswahili chake vipi boss?
Mbula! Ngai wange!πKwa kuwa Yesu ni mzungu una budi kutumia Kiingereza.
Mbula ni matusi mkuu[emoji1787]Mbula! Ngai wange![emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji56]
Nisalie kwa kidhungu ndugu yangu. matusi ni dhambi πMbula ni matusi mkuu[emoji1787]
umesema vizuri sana! Hata ukiomba kwa lugha yako ya asili bado Mungu atakusikia na kukusamehe kama ukiomba kwa kumaanisha!Mwanzisha mada kaleta toleo la kiingereza; mwingine alete kwa kiarabu na lugha nyinginezo. Mungu hana lugha ataelewa maombi yote.
Allah hajui lugha nyingine tofauti na kiarabuMwanzisha mada kaleta toleo la kiingereza; mwingine alete kwa kiarabu na lugha nyinginezo. Mungu hana lugha ataelewa maombi yote.