Niwambie tu kwamba mnyonge m yongeni lakini haki yake mpeni.
Hivi Nani asiyejua kuwa kwenye utawala wa karia timu ya taifa ilifika Afcon? Nani asiyejua timu ya vijana na wanawake zimepanda chati?
Sasa hivi mashindano ya azam federation yanafika kila Kona ya Tanzania.
Tunataka nini cha ziada? Kama mapungufu yapo tu kwa kila binadamu hapa hakuna mtu mkamilifu
Tumpe Tena miaka mingine karia ili tuone maono yake mengine
Nawasalimu kwa jina la jamhuri