Kwani mseveni halikuwepo uwanjani?Ilifika Afcon sababu ya uswahiba wa mwendazake na Museveni.
Mechi ya kufuzu tulipocheza na Uganda tulionewa huruma.
Je kule Misri tuliambulia nini? Tulipigwa kipigo cha Umbwa koko
Tulishindwaje kutoa hamasa kule Misri, kama hiyo ndio ilikuwa mbinu kwa nini hatukuifanya?Kwani mseveni halikuwepo uwanjani?
Tukubaki tu kwamba hamasa ilikuwa kubwa na vijana wetu walijituma vilivyo
Sema tu kweli una maslahi naye binafsi na club yako! This guy is toxic and divisive!
Tenga alikuwa Rais wa TFF Utawala wa Kikwete lakini hakuipendelea Yanga Abadan Ingawa ni mwana Yanga!