Salaam enyi wenye busara nyingi

Salaam enyi wenye busara nyingi

Joined
Jul 21, 2012
Posts
86
Reaction score
21
Habari wanajamvi,

Ninajisikia bahati kuwa hapa pamoja nanyi tukisaidiana kuipigisha dunia hatua moja mbele zaidi.

Hongereni kwa kazi kubwa na tafadhali nipokeeni.
 
Karibu sana, umekuja na kinywaji mkuu!
 
Back
Top Bottom