Salaam za kumbukizi

Salaam za kumbukizi

Baba ilumba

Member
Joined
Apr 18, 2020
Posts
37
Reaction score
49
Habarini wana jf ni tumaini langu kuwa nyote mu wazima wa afya kabisa.

Leo ningependa tutoe salaam za kumbukizi kwa ndugu,marafiki,wazazi,walezi na wengineo tuliowahi kukutana nao maishani.


Nikianza na mimi salaam zangu ziwafikie marafiki zangu wote tuliowahi kuwa pamoja na pia kwa tuliopotezana ninawakumbuka sana.

Salaam zangu za pili ziiendee familia yangu na hasa kwa make wangu mama ilumba I love you very much dear.....

Tunaomba mtiririke wanajf kwa kutoa salaam za kumbukizi kwa wote muwapendao...🗽
 
JF bwana!! yaani unajificha ndani ya shimo then unasalimia wapita njia wasiokuona. Eneway....natuma salamu kwa ndugu jamaa na marafiki wote wa board room Sinza. Nasema tupo pamoja
 
Nawasalimia wanaJF wote maana kwa hao wengine utakuwa ni uongo (hazitofika)
 
Back
Top Bottom