Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Jamani wewe mwanamke uko wapi? Nimemiss fujo zako ujue. Au ndo una ushamba wa jf mpya Hahaha (usinichambe mwee)Katajwa mkeo acha ustuke!!
Jamani wewe mwanamke uko wapi? Nimemiss fujo zako ujue. Au ndo una ushamba wa jf mpya Hahaha (usinichambe mwee)
Hahahaa nilijua hili lishamba langu limekwama mahali. Ulisahau kweli au ndo mabadiliko ya jf tu, maana jana ile me mwenyewe nalog in nakuta password imegomaKwanza nilisahau password, pili naingia huku naona vitu hata sivielewi, khaaaa!!
Hahahaa nilijua hili lishamba langu limekwama mahali. Ulisahau kweli au ndo mabadiliko ya jf tu, maana jana ile me mwenyewe nalog in nakuta password imegoma
Teh password nitajie tu mie ili niwe nakukumbusha[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]Mie nilisahau mpaka nikakumbushwa, sikuingia huku tokea juzi sasa leo ndio nikaikumbuka jf, kila nikilog in inakataa kumbe nilibadiligi password ila nikasahau, ikabidi niulize
Teh password nitajie tu mie ili niwe nakukumbusha[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]