Salaam!

charambe

New Member
Joined
Apr 20, 2011
Posts
1
Reaction score
0
bwana wetu apewe sifa,Asalaam aleikum

nyumba inapangishwa boko mwangalani kutembea ufukweni mwa bahari ni dk ishirini

ghorofa vyumba 5,swimming pool,servant court,electric fenced,dstv connection na ni full furnished.


2000-2500 pesa ya kimarekani.nawaombeni wana jamii mnisaidie kupata mtu hari imekuwa ngumu.
 

Du! Hapo kwenye red, hiyo ni kwa ajili ya nini mkuu. Tufahamishe haraka kabla hatujaanza kukutafutia wateja
 

Hizi nyumba za kifisadi itabidi uweke tangazo kwenye Tovuti ya Chama chao.

Baada ya kuwapa magari aina ya V8 wanaweza kuwapongeza tena kwa kuwapangishia nyumba.

B strategic mkuu am serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…