salaam

salaam

bmosses

Member
Joined
May 4, 2012
Posts
59
Reaction score
4
Habari zenu wana JF nami ni mwanachama mwenzenu kama mtakavyoona profile naamini tutashirikiana ktk kuijenga nchi yetu.kama nitakosea kanuni na sheria za JF msisite kunirekesha
 
Karibu.
Kabla hujaanza mambo mengine pitia thread moja ya Invisible inayosomeka "TAFADHALI SOMA HAPA, YOU MUST READ THIS"


Lakini isije kuwa Rejao maana jana kapigwa BAN sasa kaja kwa staili nyingine.

Well come!
 
Back
Top Bottom