Simba wa Tunduru
New Member
- Jun 5, 2013
- 2
- 1
Habari ya Kilimanjaro Bwashe? Karibu sana
Asalaam Aleykum waungwana. Nawasalimu kwa lugha, dini na itikadi zenu. Mgeni nimeingia naomba miongozo, order, kuhusu utaratibu na mengineyo. Ila tangu mwanzo nieleweke kuwa napenda vitu vyote duniani isipokuwa CCM. Ahsanteni.
Habari ya Kilimanjaro Bwashe? Karibu sana
Kubali yaishe ... ccm haipendwi