Nimekuwa msomaji mfuatiliaji wa majadiliano mengi humu. Ingawa kuna majadiliano mengine yasiyo NA tija, lakini majadiliano mengi Sana Yana tija NA yanatoa ELIMU ya uhakikka KWA sisi tuliokuwa wasomaji tu. Kuanzia sasa nami nitakuwa nachangia NA kutoa hoja KILA nikipata wasaa. Ahsanteni sana