Wana jamvi naomba kuungana nanyi katika kujadili mambo mtambuka yanayoihusu jamii ja Watanzania.Nilikuwa ughaibuni kwa muda mrefu na nimekuwa nasoma nyuzi zenu lakini sikuweza kuchangia kwa kutokuwa na taarifa za kutosha na sikutaka kuwa mchangiaji mwenye upeo hafifu.Sasa niko nyumbani na nitashiriki kikamilifu kutoa michango yenye tija.