lupasulwisye
Senior Member
- Sep 5, 2012
- 104
- 21
Karibu sana! Ngoja Babu aspirin aje kuku kagua!
Kama una tatizo lolote kuhusu maswala ya kisheria utanibip!
Karibu jukwaa la elimu..
Aghha..??!!!
Karibu sana! Ngoja Babu aspirin aje kuku kagua!
Kama una tatizo lolote kuhusu maswala ya kisheria utanibip!
Kwahiyo kazi yako ni hyo e?
Unasubiri wageni wakubip?
Sasa subiri nitoke huku utanitambua.
Lawyer!
Ufafanuzi pls , ina maana Babu ni unisex ?
Anakagua gender zote ?
Kama jb ni siyo , huyu newcomer ushaijua gendar yake ?
tafadhali wangu usinipe adhabu ya jana!
Nimesahau kumwambia mgeni we nina! Mh mgeni huyu ni ma sweetie Madame B wa ukweli, hauruhusiwi kumsogelea!
Karibu sana.Mimi nimejiunga hivi karibuni na jf.ni tumaini langu kuwa mwanachama mzuri nitakayetumia uelewa wangu katika kushirikiana nanyi wenzangu hasa katika kipindi hiki cha mageuzi yanayoendelea hapa nchini tanzania.