Saladi Ya Majani (lettuce) Na Mapilipili Mboga.

Saladi Ya Majani (lettuce) Na Mapilipili Mboga.

X-PASTER

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
11,605
Reaction score
1,843
Saladi Ya Majani (lettuce) Na Mapilipili Mboga.

VIPIMO

Saladi ya uwa (ya duwara).............. 1

Matango.............. 2

Karoti.............. 2

Pilipili kubwa la kijani hoho.............. 1

Pilipili kubwa jekundu hoho.............. 1

Nyanya.............. 2

Limau au ndimu.............. 1



NAMNA YA KUTAYARISHA

1. Katakata Saladi weka katika trey

2. Ukipenda kumenya tango, menya na kata vipande vya duara.

3. Kwaruza karoti na kata vipande vya duara au ukipenda kwaruza.

4. Katakata mapilipili kwa urefu.

5. Kata nyanya kwanza nusu kisha katakata vipande vyembamba.

6. Changanya vizuri vitu vyote hivyo katika treya ya kupakulia na pambia kwa vipande vya limau au ndimu. Tayari kuliwa.
 
Back
Top Bottom