GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Unafamu jina lake la Kisayansi au Kizungu? Nataka nione kama nitapata taarifa zake YouTube.KARATU ZPO NYNGI SANA WANALIMIA MTOWAMBU PEMBEZONI MWA MTO.NAAMINI KINACHOTAKIWA NI MAJI KM UNA MBEGU UNAWEZA KUSTAWISHA
Basi mi siku zooote najuaga saladi ni hii (Lettuce) hii ndo huwa naiita saladi kumbe sijui 😁WATERCRESS KWA KIINGEREZA.INASTAWI KWENYE MAJI.taarifa zake zpo tafuta kwa kingereza
Ndiyo zinaota vizuri tu, wewe tu na maji ,hakikisha zinapata maji asubuhi na jioniSijui kama zina jina jingine zaidi ya tulilolizoea tokea tukiwa wadogo!
Arusha tulikuwa tukiziita SALADI. Na Mwanza napo pia zianitwa hivyo, japo ni watu wachache wanaozifahamu, na hata upatikanaji wake ni adimu. Lakini ukifika soko kuu la
Mwanza unaweza ukabahatika kuzipata.
Kwa kawaida hizo mboga zinaoteshwa pembezoni mwa mto unaotiririsha maji. Sijui kama inawezekana kuziotesha nje ya mto.
Inawezekana kuotesha nje ya mto? Nimejaribu kutafuta taarifa zake mtandaoni lakini sijafanikiwa kuziona. Labda zina jina jingine zaidi ya SALADI?
Msaada tafadhali kwa mwenye taarifa!
Picha Mkuu!Sijui kama zina jina jingine zaidi ya tulilolizoea tokea tukiwa wadogo!
Arusha tulikuwa tukiziita SALADI. Na Mwanza napo pia zianitwa hivyo, japo ni watu wachache wanaozifahamu, na hata upatikanaji wake ni adimu. Lakini ukifika soko kuu la
Mwanza unaweza ukabahatika kuzipata.
Kwa kawaida hizo mboga zinaoteshwa pembezoni mwa mto unaotiririsha maji. Sijui kama inawezekana kuziotesha nje ya mto.
Inawezekana kuotesha nje ya mto? Nimejaribu kutafuta taarifa zake mtandaoni lakini sijafanikiwa kuziona. Labda zina jina jingine zaidi ya SALADI?
Msaada tafadhali kwa mwenye taarifa!
Nashukuru sana mkuu! Nimeziona. Nitafanyia majaribio kuotesha kwenye "containers". Wazungu wanadai zinastawi hata kwenye "makopo".WATERCRESS KWA KIINGEREZA.INASTAWI KWENYE MAJI.taarifa zake zpo tafuta kwa kingereza
Na "ujanja" wako woote ulikuwa hujui kuwa kuna mboga nzuri, tamu na zenye virutubisho lukuki ziitwazo "SALADI"😀Basi mi siku zooote najuaga saladi ni hii (Lettuce) hii ndo huwa naiita saladi kumbe sijui 😁
View attachment 3324674
Daaah yani mi najuaga saladi ni hiyo 😂😂Na "ujanja" wako woote ulikuwa hujui kuwa kuna mboga nzuri, tamu na zenye virutubisho lukuki ziitwazo "SALADI"😀
Sisi tuliziita SALADI, lakini Wazungu wanaziita WATERCRESS au YELLOWCRESS kama alivyosema GEBA2013
Picha Mkuu!
Picha Mkuu!
Wiki hii lazima nikazisake, huenda nitazibahatisha.Saladi na nyamaa.naweza kula kilo ya ugali
Jaribu neno LettuceUnafamu jina lake la Kisayansi au Kizungu? Nataka nione kama nitapata taarifa zake YouTube.
Upo sahihi, hiyo ni lettuce.Basi mi siku zooote najuaga saladi ni hii (Lettuce) hii ndo huwa naiita saladi kumbe sijui 😁
View attachment 3324674