Salah kukosa World Cup 2018 RUSSIA

Tunamuombea shifaa ya haraka ndugu yetu Salah, hope egypt and Morroco watafika mbali
 
Hahaaaa. Nilivyooana hiyo Avatar nikajua tu weye ni team Argentina. Hongera Mkuu.

Pamoja dada yangu,, Argentina dam dam aise πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Tumuombee ndugu yetu Mo Salah apone haraka.
 
Pamoja dada yangu,, Argentina dam dam aise πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Tumuombee ndugu yetu Mo Salah apone haraka.
Usijali Kaka. Amiin Insha Allah natumai uzima ataupata.

Sababu kiukweli anaweza fanya kitu kwenye World Cup kwani kwa jinsi jina lake lilivyo kubwa akiwa uwanjani tu tayari ni matumbo joto kwa mabeki wa timu pinzani.

Nina imani soon atakaa sawa.
 
Kabisa dada yangu...Inshaalah dua zetu kwa pamoja
 
mimi ni sio mshabiki wa liver ila kiufupi salah angewecheza dkk zote katika finali ya uefa..naamini kombe lingeenda anfield,maana jamaa alikua hakamatiki kwenye ile mechi..he was on fire
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…