Salah stayed in Nairobi but tumenyamaza

Eti Wanyama akija ana.... [emoji23][emoji23] rubbish! Walikuja mpaka wakina Will Smith, Beckham, Sakho etc kwa our parks na hukuona tukifanya utumbo sembuse Salah kuja hotelini...
 
Pole pole basi wandugu..
Hao mapaparazi wenu labda nao walizoea hongo tu.. sasa wanaisoma namba mudogo mudogo
 
De jong alikuwepo last last week
 
Mimi nimejua kupitia hii post kwamba yupo Nairobi sasa sijui mtoa post mmenyamanza kama mnavyodai. Stupid
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Alafu kwasababu siasa lazima ziingizwe kwenye kila suala Tz, siku ya pili team roho mbaya wanaccm wakaja wakaing'oa.
Haikufuata taratibu
Tunazo Kenyatta Drive,Mwai Kibaki mbona hazijafutwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…