Salam Abu Sharar Balozi wa Palestine atembelea Maktaba

Mkuu unamiliki maktaba tualike Nas tuje tusome vitabu

Next time mualike na baloz wa Vatican aje
Peramiho,
Maktaba hii ni kwa ajili ya kuhifadhi nyaraka, picha na vitabu kama rejea si maktaba ya kuazima vitabu.

Balozi wa Palestine sikumualika ila kaja kwa mapenzi yake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…