Chuo cha Maji
Member
- May 4, 2017
- 54
- 34
Karibuni sana.
Mjitahidi kua online tuna maswali kibao yanayohitaji majibu kuhusiana na taaluma ya maji, vigezo na sifa za kujiunga hapo chuoni.
Nataka sana tender ya kusupply vifaa na dawa za maabara...nisaidie nianzaje?Habari za Maisha wana Jukwaa.
Chuo cha Maji, kilichopo Ubungo University Road tunaomba kupokelewa katika familia ya Jamiiforums. Tumefungua account hapa ili tuwe karibu zaidi na wadau wetu katika sector ya elimu, mazingira na Maji hapa Tanzania.
Tunashukuru sana uongozi wa Jamiiforums na Members wote kwa kutupokea.
Asanteni.
Fanya account iwe verified ingependeza zaidi
Nataka sana tender ya kusupply vifaa na dawa za maabara...nisaidie nianzaje?
Nafasi za kazi zipo katika sector ya IT?
H2O -naomba msaada wa hii fomula inakuaje mpaka inaitwa (maji) mana nilikula Ada kidato
Hivi mnachukuwa muda gani kumfungia /kumpelekea huduma ya maji mteja baada ya kuwa kalipia gharama zenu zote? Maana wiki ya tatu sasa tangu tumelipia tunaona wanakuja wanazunguka zunguka wanaondokaHabari za Maisha wana Jukwaa.
Chuo cha Maji, kilichopo Ubungo University Road tunaomba kupokelewa katika familia ya Jamiiforums. Tumefungua account hapa ili tuwe karibu zaidi na wadau wetu katika sector ya elimu, mazingira na Maji hapa Tanzania.
Tunashukuru sana uongozi wa Jamiiforums na Members wote kwa kutupokea.
Asanteni.
ukisikia zwazwa ndio weweHivi mnachukuwa muda gani kumfungia /kumpelekea huduma ya maji mteja baada ya kuwa kalipia gharama zenu zote? Maana wiki ya tatu sasa tangu tumelipia tunaona wanakuja wanazunguka zunguka wanaondoka