H hernanes96 Member Joined May 2, 2015 Posts 16 Reaction score 6 Dec 19, 2015 #1 haitii mimba wala haitapishi mimi ni mgeni humu na hekima ya mgeni ili apate mapokezi mema,salam ndo kitu cha kwanza!. HABARI ZENU MEMBERS WENZANGU WA JAMII FORUM,i wish tutakuwa pamoja kwa amani na upendo daima.
haitii mimba wala haitapishi mimi ni mgeni humu na hekima ya mgeni ili apate mapokezi mema,salam ndo kitu cha kwanza!. HABARI ZENU MEMBERS WENZANGU WA JAMII FORUM,i wish tutakuwa pamoja kwa amani na upendo daima.
N nasamu100 JF-Expert Member Joined Mar 31, 2015 Posts 201 Reaction score 32 Dec 19, 2015 #2 Mbona wewe kama mweneji vile ila umebadilisha ID nyingine tu.
H hernanes96 Member Joined May 2, 2015 Posts 16 Reaction score 6 Dec 19, 2015 Thread starter #3 nasamu100 said: Mbona wewe kama mweneji vile ila umebadilisha ID nyingine tu. Click to expand... kwa nini unasema hivyo mkuu
nasamu100 said: Mbona wewe kama mweneji vile ila umebadilisha ID nyingine tu. Click to expand... kwa nini unasema hivyo mkuu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 21, 2015 #4 Karibu sana JF mjukuu wetu ufaidi kwa GT.
Z Zumbe Kimweru JF-Expert Member Joined Jul 13, 2014 Posts 340 Reaction score 27 Dec 21, 2015 #5 mkuu.. Maneno uliyokuja nayo... Mmmmh ngoja tukupokeee tu.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Dec 25, 2015 #6 Karibu sana JamiiForums...
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 26, 2015 #7 Krb sana JF.