Salam

Salam

ANDILE

Member
Joined
Aug 4, 2010
Posts
25
Reaction score
0
Nawasalimuni nyote kwa jina la tanzania. Nimefika hapa leo. Hodi jamani, wenyeji mpo humo ndani. Niko mlangoni nabisha naomba mnifungulie mlango nipate kuingia.

Kila heri
 
Karibu pita ndani mlango uko wazi.............shurti kuvua viatu lakini maana hapa ni mahala patakatifu
 
Back
Top Bottom