A ANDILE Member Joined Aug 4, 2010 Posts 25 Reaction score 0 Aug 4, 2010 #1 Nawasalimuni nyote kwa jina la tanzania. Nimefika hapa leo. Hodi jamani, wenyeji mpo humo ndani. Niko mlangoni nabisha naomba mnifungulie mlango nipate kuingia. Kila heri
Nawasalimuni nyote kwa jina la tanzania. Nimefika hapa leo. Hodi jamani, wenyeji mpo humo ndani. Niko mlangoni nabisha naomba mnifungulie mlango nipate kuingia. Kila heri
JS JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 2,064 Reaction score 504 Aug 4, 2010 #2 Karibu pita ndani mlango uko wazi.............shurti kuvua viatu lakini maana hapa ni mahala patakatifu
Karibu pita ndani mlango uko wazi.............shurti kuvua viatu lakini maana hapa ni mahala patakatifu