Salama humu ndani? Mgeni wenu hapa!

Nellyonjolo1

Senior Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
120
Reaction score
39
Wakuu nawasalimu wote nadhani mu wazima bali kwa wale wenye madhaifu basi Muumba wao awarejeshee kilichopungua na wapate kufurahi pamoja nasi.
Kwa wale waliotangulia mbele ya haki basi nasema nimewamiss (Bwana ametoa na tena ametwaa!) wapumzike salama.

Nawapenda sana, naomba mnipokee tafadhali.
 
Pita ndani Nellyonjolo
 
Last edited by a moderator:
Mkuu unatisha hiyo intro................
 

aiseeeeee babaangu karibu sana jf labda nichukuwe nafasi hii na mimi nijitambulishe naitwa mkuu rombo natokea mkowa wa kilimanjaro kijiji cha mkuu rombo namiaka 62 na mke na watoto 8 na wajukuu 5 asante sana na karibu JF
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…