Lamar BlacAmerican
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 974
- 2,305
Sawa ila Kwa mfano ikatokea amesign clouds kipindi gani unavyoona angefitKweli kabisa, Salama is an independent woman, Clouds hapamfai!
Upande wangu Mimi hakuna labda aanzishe chake (kipya)Sawa ila Kwa mfano ikatokea amesign clouds kipindi gani unavyoona angefit
Cha kimbea kile, salama kisingemfaa si kwa chumvi wala sukariWikiend Chat Show