Salama Jabir anafaa kuhost kipindi gani akiwa Clouds?

kama wanampango wa kuanzisha kipindi cha "simulizi za wahenga" sawa
 
Kwa nini unamuita Mwanadada?
 
Salama jabir sidhani kama anaweza kukaa meza moja na RUGE
 
This lady fooled the entire nation for years with her show 'Mkasi'. With 'Mkasi', she hid her secret in public! Do you know what 'Mkasi' (not Mikasi) really means?
...rudi hapa wewe zuzu ujibu maswali ya toka juzi,
..mana sisi entire nation tumekuwa fooled na Salama for years,
..kasoro wewe tu!
 
...rudi hapa wewe zuzu ujibu maswali ya toka juzi,
..mana sisi entire nation tumekuwa fooled na Salama for years,
..kasoro wewe tu!
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€Tatizo unapenda sana ubuyu. Madeni unayodaiwa unasahau, ila umbea toka juzi hujasahau.
 
This lady fooled the entire nation for years with her show 'Mkasi'. With 'Mkasi', she hid her secret in public! Do you know what 'Mkasi' (not Mikasi) really means?
mmh i dont know, tell me
 
She is my role model, lol
clouds hapamfai kabisa, hata mfano umegoma kumfanonika, lol.
 
Moja ya njia lesbians wanapeana raha ni kwa kuingiza vidole viwili na kuvichezesha kama mkasi unavyokata nguo. Kwa kufanya hivyo, eneo nyeti sana linaguswa. So kwa lesbians ukitaja mkasi au ukachezesha vidole anaelewa kinachoendelea ITV.






Lol, unless you meant that sign called 'fingers btn Tongue' in other word it called V sign.

But inawezekana kwa upande mwingine japo sidhani kwa mtu kama yeye kutoa kipindi kile kwa maana ya vile, ingekua hakukua na maudhui ya saloon hapo sawa tunge doubt but mbona kitu kilikua wazi kabisa, lol.
 

Mimi ninachogundua ni kwamba wewe sio mdau ndo maana huwezi kuelewa. Lesbianism ni kama cult, kuna code za kuwasiliana. Watu weusi hatuwezi kuelewa sababu sio utamaduni wetu. Ila hizo signs ni za watu wa mbele huko. Kalipoenda kusoma uingereza ndipo kalirudi na kuanzisha kipindi na kukipa jina la 'ajabu'. Hiding in public.
 
Lol, hakika ww ndio hujui ila acha nikuache uamini unachokiamini,
'Utamaduni' hua nacheka sana nikiona mtu analisema hili neno sehemu ambayo si sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…