salama bana she is talented kusema kweli.... nimekipienda kipindi.. nitakuwa nakifuatia kwenye you tube
Yule mtangazaji wa siku nyingi atuma dongo kwa magazeti ya UDAKU hasa hasa yanayomilikiwa na global publisher na kiu na amani ambayo yanaandika sana habari za mastaa wa movie kua ni magazeti ya bei rahisi. Inshu hiyo imetokea katika kipindi chake (huyo Mtangazaji wa zamani) cha mkasi kinachorushwa na EATV
sasa sikilizia majibu yake kutoka kwa Mzee
Mkasi - S01E01 with iRene Uwoya - YouTube
RISASI MCHANGANYIKO NA DADA ZAKE WAZEE WA KIU YA JIBU
YETU MACHO
Salama kiboko. ila mademu wanamshobokea kweli. Bijoux, yule aliyemtukana mumewe shoga juzi sijui nani...wote kapitia....nimeshukuru kampasha shigongo
huwezi kumtenganisha shigongo na udaku wa kidhalilishaji... it will be like kumtenganisha[/B][/I][/U]
What is wrong with Shigongo? Salama did not point directly on him! Hayo magazeti yako mengi sio ya Shigongo tu!
Salama kiboko. ila mademu wanamshobokea kweli.
Kwa kweli last wk nilipata wageni nyumbani, mmoja akaenda jikoni akarudi na gazeti la udaku. I was so embarrassed kukutwa kitu kama hicho kwangu! I almost strangled my maid. Nina kazi ya kumsakia vitabu vya learn english! Ni aibu kusoma yale makitu!
huwezi kumtenganisha shigongo na udaku wa kidhalilishaji... it will be like kumtenganisha
nape na upuuzi
nadhan ni ushuziDo! You have made my day!!!