dada yangu huyu msela sana,,namuona hapa kwenye mkasi amekunja jeans yake wala hana habari
umri unaenda lakn?
.....wakwako unarudi nyuma?
cyo bure
umri unaenda lakn?
hakuna mahali panasema ananikera
hakuna mahali palipoandkwa habadilike
halafu akishabadika....
sasa kama hakukeri,usela unataka apunguze ikusaidie nini wewe?
dada yangu huyu msela sana,,namuona hapa kwenye mkasi amekunja jeans yake wala hana habari