Salama Jabir utaolewa lini?

Hata mimi Salama huwa ananishangaza sana.
Lakini mwisho wa siku ndiyo maisha aliyojichagulia,hata sisi tuna maisha yetu tuliyojichagulia.
Huenda nae anatushangaa kama tunavyomshangaa.
Mkuu hiyo avatar ndio wewe,hiyo style ya kuangalia nimeipenda
 
Pole kiongozi bet jioni.
Anasubiri mayai yakutane
 
kwa nini usimuoe wewe au hujiamini..au machine haiendi angle
 
Siyo lazima kila mwanamke kuwa na mtoto acheni kukariri!! Wengi wenu mmeiga tamaduni za wazungu kuanzia lugha mavazi and so on mbona mnashindwa kuiga na hili?????
Mbona Salama Ana mtoto kwao Zenji!!?
 

Salama usimuulize lini ataolewa muulize lini ata..........
 
Salama nlikuwa namfagilia sana miaka ya 2000s alikuwa anatangaza kuanzia saa nne usiku slow jamz ikitoka The Crewz By DJ JD.
 
Yule anamchezo wa same sex nackia ana scandal hiyo sio rahic kutaman kuolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…