Salama Jabir utaolewa lini?

Darisalama hajakutana na mwanaume, ataolewa akipata wale wanaokula dona, maharage na mchicha, kuku wa kienyeji chukuchuku.
 
Mwanaume atakaemuoa nae itambidi awe mvumilivu kweli maana ndani itakuwa kama wako wanaume watupu
 
Aliembadili ni boss wake wa zamani .ndio alikua naizo michezo
 
Wewe inakuhusu nn nawakati ni maamuzi yake.
Kamuoe wewe
 
zile swaga zake halafu akiwa kwenye siku zake naona anatia huruma, itakuwa anachukia mnooo.
Kuna mwanamke asiyechukia hedhi? Nadhani wote wanazichukia hizo siku maana zina usumbufu na zinaambatana na maumivu ya tumbo. Tumbo la hedhi hukata
 
Huyu dem hajakutana na watu wanaopiga mit vizuri akikutana na akina sie viwili tu kesho anavaa kanga barabarani.....!
 
Huyu dem hajakutana na watu wanaopiga mit vizuri akikutana na akina sie viwili tu kesho anavaa kanga barabarani.....!
hajakutana?ulitaka akutafute yeye,nenda kampige story afu dawa ake ni viagra tu,unampiga mambo mpk akome ila nasikia ni bikra
 
Amekiri juzi hana mtoto na hatarajii kumpTa leo wAlA kesho coz mayai ya kuunganisha ili apate mtoto yako mbalimbali.. yaani mmewe hayupo TZ.


So hana mtoto.
 
aolewe!! kawa mwanamke lini?
 
Kuna mwanamke asiyechukia hedhi? Nadhani wote wanazichukia hizo siku maana zina usumbufu na zinaambatana na maumivu ya tumbo. Tumbo la hedhi hukata
yeye anachukia Zaidi fikiria mavazi yake halafu mambo ya kuvaa pad, nazungumzia swaga zake za kiume na mambo hayo yani anaboreka Zaidi.
 
Swali aliulizwa na chege juzi kati kalikwepa kulijibu eti oooo mayai battalion mara lipo mara πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
Nyonga +washa+vuta...ukiwa mwanamke ukitumia hivi lazima ujione na wewe kidume hisia za kike zinahama..ila anakunwa+anawakuna pia akizidiwa
 
"Mayai yapo mbali"
Jibu alilolitoa alipoulizwa na Chege kama ana mtoto au la.

Siku mayai yakikutana nadhani watafunga ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…