Mbavu mbili
JF-Expert Member
- Apr 25, 2011
- 1,457
- 874
Sio lazima uzipendemimi hata sizipendi swaga zake kabisa
Haya mie napitaHebu mwacheni mke wangu
hahahahahaha wanaume wa Dar huu mwaka waoWanaume wa Dar washaanza. Ati Salama anaolewa lini? Mmmh!
kwani huko Dar hakuna wanaume wa kumuoa! nyie wanaume wa dar vipi...?
Salama anatoka na fid q mbona ni muda sana, na inasemekana walipanga mambo mengi katika maisha yao likiwemo la mtoto,
Ataolewa na Benny Kinyaiya a.k.a .................
Tililika Bi dada. me najuaga Kinyaiya ni shogaAnapenda kuoa wenye passport za Europe. Alimuoa dada mmoja Denmark akamrubuni dada wa watu akachukua mkopo bank Ben akawekesha kwenye pub yake ya K'ndoni............. Nitaendelea kama mnataka kujua mengi.
Tililika Bi dada. me najuaga Kinyaiya ni shoga
Halafu nasikia analiwa tigo sijui ni kweli? maanake anavojikoboa km Ray kigosiBasi anawahadaa hao wadada akienda Europe, nia na madhumuni ni kupata passport ya Europe yeye mwenyewe lakini jitihada nyingi zinaishia kama Pimbi.
Halafu nasikia analiwa tigo sijui ni kweli? maanake anavojikoboa km Ray kigosi