Salama ndugu zangu

karibu sana

Kujifunza mengi kama yapi?

Sema usaidiwe
 
Karibuuuu
Pita mpaka ndani viatu weka kwenye korido
 
karibu sana

Kujifunza mengi kama yapi?

Sema usaidiwe
Hivi wew Melo kakuweka department ya Reception maana hupitwi na mgeni yoyote
Upo vizuri nimekuaminia na mm nitafutie ka ajila humu
 
Aah usiniharibie ulaji wangu bana.

Wewe haufai kupokea wageni utaanza kuwachambua kwanza,mgen akaribishwe vizuri bana.
Hivi wew Melo kakuweka department ya Reception maana hupitwi na mgeni yoyote
Upo vizuri nimekuaminia na mm nitafutie ka ajila humu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…