Salama wa kipindi cha mkasi✂ na ngazi kwa ngazi

wasaa9

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2017
Posts
566
Reaction score
209
Wajameni, babie machachari na mwenye muonekano wa aina yake na host wa kipindi ngazi kwa ngazi yuko wapi tena.

Huyu alikuwa host wa kipindi cha mkasi na baadae kuwa ngazi kwa ngazi katika television ya EATV. Salama Jabiri sioni kipindi chake karibu mwaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…