Salama wakuu?

Salama wakuu?

Hanzk

Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
13
Reaction score
2
Jamani wanajukwaa naombeni ushauri wa kitaalam kati ya subaru impreza V/s audi A3 zote za mwaka Kuanzia 2009 mpaka 2010. Ipi ni mashne nzur na udhaifua wa hzo gar uko wapi? Nataka kuchkua moja kati ya izo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni gari nzuri kwa kutembelea. Ina mkwara mzuri saaana. Nilianza na audi baadae subaru legacy.
Zote shida ni 3 kwa upande wangu
1. Mafundi wa uhakika
2. Spea mtihani
3. Mafuta. Mashine inaita ila sio corola hiyo jombaa.

Baadae kuuza unasumbuka pakubwa.
Usipochangamka inakuvimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni gari nzuri kwa kutembelea. Ina mkwara mzuri saaana. Nilianza na audi baadae subaru legacy.
Zote shida ni 3 kwa upande wangu
1. Mafundi wa uhakika
2. Spea mtihani
3. Mafuta. Mashine inaita ila sio corola hiyo jombaa.

Baadae kuuza unasumbuka pakubwa.
Usipochangamka inakuvimbia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nashkur sna kwa ushaur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom