Nashkur sna kwa ushaurNi gari nzuri kwa kutembelea. Ina mkwara mzuri saaana. Nilianza na audi baadae subaru legacy.
Zote shida ni 3 kwa upande wangu
1. Mafundi wa uhakika
2. Spea mtihani
3. Mafuta. Mashine inaita ila sio corola hiyo jombaa.
Baadae kuuza unasumbuka pakubwa.
Usipochangamka inakuvimbia.
Sent using Jamii Forums mobile app